Ambapo hussein, abdully na jacob walipata muda mzuri wa kumuuliza manlikekweks (nprofile…5k3q) maswali kuhusu Bitcoin na kupata insights moja kwa moja kutoka kwa Bitcoin OG🙌🧠
Hii ndiyo nguvu ya community — kujifunza pamoja na kukua pamoja!
Karibuni tena kwenye meetup zetu zijazo! 🧡
Powered by Bitcoin Arusha (nprofile…e76d)
#BitcoinNiHela
#Powa255
#BitcoinEducation
#spedn #iBuild iDream
#BitcoinArusha
