Jiunge nasi katika Genesis Block Day Hangout ya Bitcoin Arusha kusherehekea tukio hilo la kihistoria na kusikia tunachojenga mwaka huu wa 2026!
📅 Januari 3, 2026 | Saa 9 alasiri hadi 12 jioni
📍 Westerwelle Startup Haus, Arusha
Karibu sanaa Tunakusubiri!
Tumia link hapo chini ili kushiriki.
https://luma.com/rwn67opt
#GenesisBlockDay #Bitcoin #tanzania
manlikekweks (nprofile…pv08) SatsTagga (nprofile…vgmz) POWA255 (nprofile…2h8y)
