Join Nostr
2026-01-13 11:03:37 UTC

POWA255 on Nostr: hedhihuru inatengeneza taulo za kike zinazoweza kutumika tena na tena kwajili ya ...

inatengeneza taulo za kike zinazoweza kutumika tena na tena kwajili ya kuwasaidia mabinti hapa Tanzania kuhudhuria Masomo Yao bila vikwazo Wakati wa hedhi.

Kwa shilling elfu sabini na tano tu (Sawa na $30) unaweza kumsaidia binti mmoja kupata taulo hizi kwa matumizi ya miaka mitatu mfululizo.

Ni nafasi ya wewe kuwa sehemu ya mabadiriko. Kila mchango wako ni uwekezaji katika elimu na heshima ya msichana!!!!!
#BitcoinForChange⚡️
Hedhi Huru Initiative creates reusable pads for girls in #Tanzania to support their attendance at school.
For just $30 (75,000 TZS), you can support one girl for three full years.



https://geyser.fund/project/hedhihuru/rewards/view/5cb2ca12-3278-49ea-88e4-e8afa232a1ac?hero=bitcoinarusha