Join Nostr
2025-08-29 09:55:15 UTC

POWA255 on Nostr: #BITCOIN NI NINI? #01 Yamebaki masaa machache tuu tuanze mkutano wetu wa Bitcoin ...

#BITCOIN NI NINI? #01

Yamebaki masaa machache tuu tuanze mkutano wetu wa Bitcoin karibuni sanaa ndg jamaa na marafiki tujumuike pamoja katika kujifunza na kunetwork

#Bitcoin kwa kila mtu🔥⛏️

#POWA255
#BitcoinEducation #ArushaTz