Join Nostr
2025-08-21 04:56:29 UTC

SatsTagga on Nostr: Good Morning plebs🥱 ...

Good Morning plebs🥱

https://linktr.ee/powa255
POWA255 tunayofuraha kufanya mkutano wa kwanza wa Bitcoin (Bitcoin Ni Nini #01)

Katika mkutano huu tutaangazia mambo muhimu kama vile
-Bitcoin ni nini
-kwanini bitcoin
-Waleti za bitcoin
-na namna ya kutuma na kupokea bitcoin

Mkutano huu utafanyika tarehe 29/08/2025 jengo la Mega Complex floor ya saba/WSHA Co-working space
Bites and drinks will be available.

Ili kushiriki mkutano huu jisajiri bure kupitia link hapa chini

Nyote mnakaribishwa!!!.

https://linktr.ee/powa255
#POWA
#Bitcoin #Arusha
#Tanzania🇹🇿
#POWA255