Join Nostr
2025-09-26 07:15:38 UTC

POWA255 on Nostr: Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni leo kuanzia mida ya saa kumi mpaka saa kumi na mbili ...

Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni leo kuanzia mida ya saa kumi mpaka saa kumi na mbili jioni Usipange kukosa mshtue na mwenzio tuje tujifunze kwa pamoja teknolojia hii mpya ya kifedha⚡⛏️

#POWA #BitcoinEducation
#ArushaTanzania
#nostr #Bitcoin⚡⛏️🚀

https://luma.com/r5eoce2d

KARIBUNI SANAA!!!!
Imesalia siku moja 🔥🔥🔥