Jisajiri ili kushiriki...
#BitcoinNiHela
#POWA255 #bitcoinEducation
quotingPOWA255 tunayofuraha kufanya mkutano wa kwanza wa Bitcoin (Bitcoin Ni Nini #01)
nevent1q…pys4
Katika mkutano huu tutaangazia mambo muhimu kama vile
-Bitcoin ni nini
-kwanini bitcoin
-Waleti za bitcoin
-na namna ya kutuma na kupokea bitcoin
Mkutano huu utafanyika tarehe 29/08/2025 jengo la Mega Complex floor ya saba/WSHA Co-working space
Bites and drinks will be available.
Ili kushiriki mkutano huu jisajiri bure kupitia link hapa chini
Nyote mnakaribishwa!!!.
https://linktr.ee/powa255
#POWA
#Bitcoin #Arusha
#Tanzania🇹🇿
#POWA255
![]()
