Join Nostr
2025-08-13 08:24:20 UTC

POWA255 on Nostr: POWA 255 ni mpango wa elimu ya Bitcoin kwa njia ya mtu kwa mtu (peer-to-peer) ...

POWA 255 ni mpango wa elimu ya Bitcoin kwa njia ya mtu kwa mtu (peer-to-peer) unaolenga kusambaza maarifa ya Bitcoin kwa kutumia lugha ya Kiswahili katika mkoa wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.

#POWA
#BITCOINNIHELA
#HAPABITCOINTU.