POWA255 on Nostr: ATH maana yake ni bei ya juu zaidi ambayo Bitcoin imewahi kufikia katika historia ...
ATH maana yake ni bei ya juu zaidi ambayo Bitcoin imewahi kufikia katika historia yake.
- Bitcoin hufikia ATH mpya pale ambapo mahitaji ya soko ni makubwa, mara nyingi kutokana na matumizi kuongezeka, habari kubwa, au mabadiliko ya kiuchumi.
- Kwa sasa, ATH ya Bitcoin ni takriban dola za kimarekani $123,507 ambapo ni sawa na pesa za kitanzania (TZS) shilingi Million 321,818,274.43/= bei hii imefikiwa rasmi tarehe 14/08/2025. Hivyo bitcoin imeweka historia mpya ya bei yake ya juu zaidi tangu kuanzishwa kwake.
-ATH hii ya sasa ya Bitcoin ni ongezeko la asilimia 0.547% ikilinganishwa na ATH iliyopita ya kiasi cha dolla za kimarekani $122,838 ambapo ni sawa na TZS shilingi Millio 314,630,485.21/= bei hiyo ilifikwa mnamo tarehe 14/07/2025.
- Mara nyingi baada ya ATH, soko hupitia marekebisho ya bei kabla ya mwelekeo mpya kuanza.
KUMBUKA; Bei ya bitcoin hubadirika sana kwasababu ya soko lisilodhibitiwa na matarajio ya watu.
- Kila ATH huashiria ukuaji wa imani kwa Bitcoin kama njia ya kuhifadhi thamani.
BITCOIN NI HELA.
HAPA BITCOIN TU!!
NUNUA BITCOIN!!!!!!!
#POWA
#Bitcoin #Nostr
#BitcoinEducation.
https://wavlake.com/album/033e68b5-1137-4e91-8247-ac54f2648994
Published at
2025-08-14 00:52:50 UTCEvent JSON
{
"id": "98eb6ddc724f74217bf5a943cf4bac16af2a623ade589099118227843d081991",
"pubkey": "15adf3e9a85b0da88e993448a45ec3b0c9e62ead82a8bf3f4feeb1348d8d89fd",
"created_at": 1755132770,
"kind": 1,
"tags": [
[
"t",
"POWA"
],
[
"t",
"Bitcoin"
],
[
"t",
"Nostr"
],
[
"t",
"BitcoinEducation"
],
[
"imeta",
"url https://blossom.primal.net/5f415eaf07dbb425d06a8e819fe2b152f4f7bb0fa5d9382f61dd07f7beddec0b.jpg",
"m image/jpeg",
"ox 5f415eaf07dbb425d06a8e819fe2b152f4f7bb0fa5d9382f61dd07f7beddec0b",
"dim 720x598"
],
[
"imeta",
"url https://blossom.primal.net/96216a36763a5814740ef152c39c3fd2139d5f6bfd7d661a5f94469f94088db5.jpg",
"m image/jpeg",
"ox 96216a36763a5814740ef152c39c3fd2139d5f6bfd7d661a5f94469f94088db5",
"dim 1125x1267"
]
],
"content": "ATH maana yake ni bei ya juu zaidi ambayo Bitcoin imewahi kufikia katika historia yake.\n\n- Bitcoin hufikia ATH mpya pale ambapo mahitaji ya soko ni makubwa, mara nyingi kutokana na matumizi kuongezeka, habari kubwa, au mabadiliko ya kiuchumi.\n\n- Kwa sasa, ATH ya Bitcoin ni takriban dola za kimarekani $123,507 ambapo ni sawa na pesa za kitanzania (TZS) shilingi Million 321,818,274.43/= bei hii imefikiwa rasmi tarehe 14/08/2025. Hivyo bitcoin imeweka historia mpya ya bei yake ya juu zaidi tangu kuanzishwa kwake.\n\n-ATH hii ya sasa ya Bitcoin ni ongezeko la asilimia 0.547% ikilinganishwa na ATH iliyopita ya kiasi cha dolla za kimarekani $122,838 ambapo ni sawa na TZS shilingi Millio 314,630,485.21/= bei hiyo ilifikwa mnamo tarehe 14/07/2025.\n\n- Mara nyingi baada ya ATH, soko hupitia marekebisho ya bei kabla ya mwelekeo mpya kuanza.\n\nKUMBUKA; Bei ya bitcoin hubadirika sana kwasababu ya soko lisilodhibitiwa na matarajio ya watu.\n\n- Kila ATH huashiria ukuaji wa imani kwa Bitcoin kama njia ya kuhifadhi thamani.\nBITCOIN NI HELA.\nHAPA BITCOIN TU!!\nNUNUA BITCOIN!!!!!!!\n#POWA\n#Bitcoin #Nostr\n#BitcoinEducation.\n\n\n\nhttps://wavlake.com/album/033e68b5-1137-4e91-8247-ac54f2648994 \n\n\n\nhttps://blossom.primal.net/5f415eaf07dbb425d06a8e819fe2b152f4f7bb0fa5d9382f61dd07f7beddec0b.jpg\nhttps://blossom.primal.net/96216a36763a5814740ef152c39c3fd2139d5f6bfd7d661a5f94469f94088db5.jpg",
"sig": "c4c2f5da03a8dc0596b828172702842715d6c2092dc0d79a7279ddd145257ad092cea1cb8c40224e9293caae12e851ff9cf18a17dd800ed060a16460c809e1e7"
}