Join Nostr
2025-08-20 07:53:57 UTC

POWA255 on Nostr: POWA255 tunayofuraha kufanya mkutano wa kwanza wa Bitcoin (Bitcoin Ni Nini #01) ...

POWA255 tunayofuraha kufanya mkutano wa kwanza wa Bitcoin (Bitcoin Ni Nini #01)

Katika mkutano huu tutaangazia mambo muhimu kama vile
-Bitcoin ni nini
-kwanini bitcoin
-Waleti za bitcoin
-na namna ya kutuma na kupokea bitcoin

Mkutano huu utafanyika tarehe 29/08/2025 jengo la Mega Complex floor ya saba/WSHA Co-working space
Bites and drinks will be available.

Ili kushiriki mkutano huu jisajiri bure kupitia link hapa chini

Nyote mnakaribishwa!!!.

https://linktr.ee/powa255
#POWA
#Bitcoin #Arusha
#Tanzania🇹🇿
#POWA255